iqna

IQNA

le pen
Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.
Habari ID: 3475881    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Maimamu 15 wa msikiti huko nchini Ufaransa watafukuzwa nchini humo kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uchochezi.
Habari ID: 3475716    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameonya kuwa mpango wa hasimu wake katika uchaguzi wa rais, Marine Le Pen wa kupiga marufuku hijabu katika maeneo ya umma unaweza kuibua vita ndani nchini humo.
Habari ID: 3475150    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi maarufu wa upinzani wa mrengo wa kulia wenye kufurutu ada nchini Ufaransa, Marine Le Pen amependekeza kuwa vazi la Kiislamu la Hijabu lipigwe marufuku kabisa katika maeneo yote ya umma nchini humo.
Habari ID: 3473604    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30